Wakolosai 3:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini sasa ni lazima mwa chane kabisa na mambo kama haya: hasira, ghadhabu, nia mbaya, matukano na maneno machafu kutoka vinywani mwenu.