Wakolosai 3:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Vumilianeni na kusameheana kama mtu ana malalamiko kuhusu mwenzake. Sameheni kama Bwana alivyokwisha kuwasamehe.