Wakolosai 2:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mtu kama huyo amepoteza uhusiano na Kristo ambaye ni kichwa ambacho kimeunganika na mwili wote na kushika manishwa pamoja kwa mishipa yake na kukua kama Mungu apendavyo.

Kufa Na Kuishi Pamoja Na Kristo