Wakolosai 2:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nanyi mmepewa ukamilifu ndani ya Kristo, ambaye yeye ni mkuu juu ya kila uwezo na kila mamlaka.