Wakolosai 1:29

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa shabaha hii nina fanya kazi, nikijitahidi kwa nguvu kuu ya Kristo inay ofanya kazi kwa uwezo mkuu ndani yangu.