Wakolosai 1:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
mkimshukuru kwa furaha Baba aliyewafanya mustahili kuwa na fungu katika urithi wa watakatifu, katika ufalme wa nuru.