Wakolosai 1:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Ili mpate kuishi maisha yanayomtukuza Bwana na kumpendeza kabisa: mkizaa matunda kwa kila kazi njema na kukua katika kumjua Mungu.