Wagalatia 6:8

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mtu apandaye katika tamaa za mwili, ata vuna kutoka katika mwili uharibifu; lakini yeye apandaye katika Roho, atavuna kutoka katika Roho uzima wa milele.