Wagalatia 6:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mtu akijiona kuwa yeye ni bora na kumbe siyo, basi mtu huyo anajidanganya mwenyewe.