Wagalatia 4:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nataka muelewe kwamba mrithi akiwa bado ni mtoto mdogo hana tofauti na mtumwa, ingawa mali yote ni yake.