Wagalatia 2:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Sisi hatukukubaliana nao hata kidogo ili ukweli wa Injili uendelee kutunzwa kwa ajili yenu.