Wagalatia 2:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini ikiwa mimi nina jenga tena kile ambacho nimekwisha bomoa, basi ninadhihirisha kwamba mimi ni mvunja sheria.