Wagalatia 2:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Pia Wayahudi wengine wal iungana naye katika unafiki huu, hata Barnaba naye akashawishika kuwaunga mkono.