Wagalatia 2:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha, baada ya miaka kumi na minne, nilikwenda tena Yeru salemu pamoja na Barnaba, nikamchukua na Tito ili awe pamoja nami.