Wafilipi 4:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mambo yote mliyojifunza au kupokea au kusikia kutoka kwangu, au kuyaona kwangu, yatekelezeni. Na Mungu wa amani ata kuwa pamoja nanyi.