Wafilipi 3:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Lakini uraia wetu uko mbinguni. Nasi tunangoja kwa hamu Mwokozi kutoka huko, yaani Bwana wetu Yesu Kristo,