Wafilipi 2:28

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo napenda kumtuma kwenu ili mtakapomwona kwa mara nyingine, mpate kufurahi, na mimi nipunguziwe wasiwasi wangu.