Wafilipi 2:17

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Hata kama damu yangu itamwagwa kama sadaka juu ya dhabihu na huduma inayotokana na imani yenu, mimi ninafurahi na kushangilia pamoja nanyi nyote.