Wafilipi 1:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na sala yangu kwa ajili yenu ni kwamba upendo wenu uzidi kuongezeka siku hadi siku pamoja na maarifa na busara