Wafilipi 1:29

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa maana mmepewa heshima kwa ajili ya Kristo, sio tu kumwamini, bali pia kuteswa kwa ajili yake.