Wafilipi 1:25

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nina hakika kwamba, kwa sababu hii nitabaki na kuendelea kuishi pamoja nanyi nyote, ili mpate kukua na kuwa na furaha katika imani.