Wafilipi 1:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kutoka kwa Paulo na Timotheo, watumwa wa Yesu Kristo. Kwa watakatifu walioko Filipi pamoja na maaskofu na wasaidizi wote wa kanisa.