Waefeso 6:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Niombeeni mimi pia, ili kila ninapozungumza, nipewe maneno ya kusema, niweze kutangaza siri ya Injili pasipo woga.