Waefeso 6:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Zaidi ya haya yote, jivikeni imani kama ngao ambayo itawawe zesha kuzuia mishale yenye miale ya moto kutoka kwa yule mwovu.