Waefeso 6:13

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo, vaeni silaha zote za Mungu ili mpate kusimama imara siku ya uovu itakapokuja; na mkishafanya yote, mtakuwa bado mme simama.