Waefeso 6:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Vaeni silaha zote za Mungu ili mpate kusimama na kupin gana na hila zote za shetani.