Waefeso 3:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Siri hii haikufahamika kwa watu wa vizazi vilivyopita kama ilivyodhihirishwa sasa na Roho kwa mitume na manabii watakatifu wa Mungu.