Waefeso 3:19

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
na mpate kufa hamu upendo huu, ingawa unapita upeo wa maarifa, na hivyo mpate kujazwa kabisa na ukamilifu wa Mungu mwenyewe.