Waebrania 6:20

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
ambamo Yesu ameingia akitutangulia; ameingia huko kwa niaba yetu. Yeye amekuwa kuhani mkuu milele, kama Melkizedeki.