Waebrania 4:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa hiyo basi, tusogelee kiti cha neema kwa ujasiri, ili tupokee rehema na kupata neema ya kutusaidia wakati wa shida.