Waebrania 4:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi, maadamu ahadi ya Mungu ya kuingia katika pumziko lake bado ipo, tujihadhari asije mmoja wenu akakutwa ameshindwa kuin gia huko.