Waebrania 11:32

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Basi niseme nini zaidi? Wakati hauniruhusu kuwaeleza habari za Gidioni, Baraka, Samsoni, Yeftha, Daudi, Samweli na manabii.