Waebrania 11:30

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa imani kuta za Yeriko zilianguka, watu walipozizunguka kwa siku saba.