Waebrania 11:27

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kwa imani Mose alitoka Misri bila kuogopa ghadhabu ya mfalme, kwa maana alivumilia kama amwonaye yeye asiyeonekana.