Ufunua Wa Yohana 9:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Walikuwa na mfalme wa kuwatawala, naye ni malaika wa shimo la kuzimu ambaye jina lake kwa Kiebrania ni Aba doni na kwa Kigiriki ni Apolioni.