Ufunua Wa Yohana 9:1

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kisha malaika wa tano akapiga tarumbeta yake, nikaona nyota iliyokuwa imeanguka kutoka angani hadi ardhini. Nyota hiyo ili pewa ufunguo wa shimo la kuzimu.