Ufunua Wa Yohana 8:11

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nyota hiyo inaitwa “Uchungu”. Theluthi moja ya maji yakawa machungu, na watu wengi walikufa kutokana na maji hayo kwa maana yalikuwa machungu.