Ufunua Wa Yohana 7:12

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
wakisema, “ Amina! Sifa na utukufu na hekima na shukrani na heshima na nguvu na uweza ni za Mungu wetu milele na milele! Amina”.