Ufunua Wa Yohana 7:10

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Nao walikuwa wakisema kwa sauti kuu, “Ukombozi hutoka kwa Mungu wetu aketiye katika kiti cha enzi, na kwa Mwana-Kondoo!”