Ufunua Wa Yohana 6:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Mwana-Kondoo alipofungua muhuri wa nne, nilisikia sauti ya yule kiumbe hai wa nne ikisema, “Njoo!”