Ufunua Wa Yohana 6:16

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wakaisihi milima na miamba wakisema, “Tuangukieni, mkatufiche tusionwe na uso wake yeye aketiye kwenye kiti cha enzi na mtuepushe na ghadhabu ya Mwana-Kondoo.