Ufunua Wa Yohana 5:7

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Huyo Mwana-Kondoo akaenda, akaichukua ile hati kutoka kwenye mkono wa kulia wa yule aliyeketi kwenye kile kiti cha enzi.