Ufunua Wa Yohana 4:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Kila mara viumbe hao wanne walipomtukuza na kumheshimu na kumshukuru yeye aliyeketi kwenye kiti cha enzi na aishie milele na milele,