Ufunua Wa Yohana 4:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Na katika kile kiti cha enzi kulitoka umeme, ngurumo na sauti. Taa saba za moto zilikuwa zinawaka mbele ya kile kiti cha enzi, ambazo ni zile roho saba za Mungu.