Ufunua Wa Yohana 3:9

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Sikiliza, wale watu ambao ni wa sinagogi la she tani, wale wajiitao Wayahudi kumbe sio, bali ni waongo; nitawafa nya waje wapige magoti mbele yako na wakiri kwamba nimekupenda.