Ufunua Wa Yohana 22:5

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Usiku hautakuwapo tena; wala hawata hitaji mwanga wa taa au wa jua, maana Bwana Mungu atakuwa nuru yao, watatawala milele na milele.

Bwana Yesu Anakuja