Ufunua Wa Yohana 22:3

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Katika mji huo hakutakuwa na kitu cho chote kilicholaaniwa, bali kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo kitakuwamo humo na watumishi wake watamwabudu.