Ufunua Wa Yohana 22:18

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Namwonya kila mtu asikiaye maneno ya unabii yaliyomo katika kitabu hiki: mtu ye yote akiyaongezea cho chote, Mungu atamwongezea maafa yaliyoandikwa katika kitabu hiki.