Ufunua Wa Yohana 22:14

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Wamebari kiwa wanaoosha mavazi yao ili wapate haki ya kushiriki mti wa uzima na wapate kuingia katika ule mji kupitia kwenye milango yake.