Ufunua Wa Yohana 21:6

Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Akaniambia, “Yamekamilika! Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho. Walio na kiu nitawapa maji kutoka katika chemchemi ya maji ya uzima bila malipo.